Chege Ft Mbosso – Ubaya MP3 Download | Nyimbo Mpya

Chege Ft Mbosso – Ubaya MP3 Download | Nyimbo Mpya

Chege Ft Mbosso – Ubaya MP3 Audio Download

Mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Chege (TMK Wanaume Family), ameshirikiana na muimbaji tajika wa ngoma za mahaba kutoka WCB Wasafi, Mbosso, kuachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Ubaya. Wimbo huu wenye sauti za pekee na ujumbe mzito unapatikana kwa ajili ya kusikiliza na kupakua (MP3 Download) hapa MbeyaMusic.

Taarifa za Wimbo

  • Wasanii: Chege Ft. Mbosso
  • Jina la Wimbo: Ubaya
  • Lebo: TMK Wanaume Family / WCB Wasafi
  • Aina ya Muziki: Bongo Flava
  • Mwaka: 2026
  • Format: MP3 Audio (320kbps)

Post a Comment

0 Comments